Walinde marafiki na familia

Namna ya kuwalinda

Ikiwa una wasiwasi kuwa rafiki au mtu wa familia amepata shida ya kubeti bila kujizuia, hizi ni baadhi ya ishara zitazojitokeza kwa mtu huyo:

  1. Kutumia kiasi kikubwa cha pesa kwenye kubeti
  2. Kuficha au kusema uwongo juu ya tabia ya kubeti
  3. Kukopa au kuiba ili kubeti
  4. Kujiondoa kutoka kwa shughuli na familia na marafiki
  5. Kupoteza hamu ya burudani au shughuli za burudani
  6. WKupuuza kazi au masomo

Nifanye nini?

Ikiwa mtu yeyote unayemjua anaonyesha ishara zozote za onyo hapo juu tunapendekeza kwamba umhimize mtu huyo kuwasiliana na M-Bet Plus kujadili tabia yao ya kubetii na kutafuta msaada.

Walinde marafiki na familia