16:25:59

Country Flag

Wajibu wa michezo ya kubahatisha

Furahia kuwajibika

Hapa M-Bet Plus tuna kutaka ufurahie uzoefu wakucheza kamari mtandaoni. Tunafanya kazi na wasimamizi wetu katika jaribio ili kutoa udhibiti wa aina nyingi kwa dhana ambazo zina uzoefu wa kutatua tatizo

Kumbuka ingawa wafanyakazi wa mchezo wakamari wana weza kutoa zana ambazo kila mtu ana weza kudhibiti kamari, mfanya kazi hawezi kuzani nakuwa na wajibu wowote wa kutumia udhibiti huo.kuna ulazima kuwe nakipengele kikubwa cha wajibu binafsi.Tumia zana tunayo toa au ukiwa unafikiri utajaribu kuwa zuia tafadhali fanya ushauri kutoka kwa mtalamu wa mchezo wa kamari ili kupata msaada

Kupitia kipengele hichi tunakupa njia na maelekezo ya Jinsi ya kufatilia,wajumbe wa familia au mshkaji ili kuhakikisha kuwa haiwezi kuwa tatizo

Je wewe nimshkaji au mshirika wa wafalia?

Tuna toa ufafanuzi muongozo na chaguo kazaa jinsi ya kumuunga mkono na swala la mchezo wa kamari na jinsi ya kusimamia. Maswali ya fuatayo yana weza kuchukuliwa na watu binafsi wenyewe mshkaji au familia:

  • Je unakaa mbali na kazi au chuo kwajili ya kamari?
  • Je unacheza kamari kukimbia matatizo katika maisha yako(upungufu,kuto kufurahishwa na maisha ya nyumbani nk.)?
  • Ukiwa utapoteza hela kwenye kamari Je utahisi kupotea na kukata tamaa, na unataka kupata fedha ili kucheza kamari haraka iwezekanavyo?
  • Baada ya kushindwa? Je uanahisi kujaribu kushinda na kurudisha kiasi ulichopoteza haraka iwezekanavyo?
  • Umekuwa muongo,kuiba au kukopa kwajili ya kupata pesa ya kucheza kamari au kulipa madadeni ya kamari?
  • Je umewahi kuongopa ili kulipa kiasi cha fedha au mda ulio tumia kucheza kamari?
  • Je umecheza kamari mpaka fedha yako ya mwisho ikaisha,hata kama nikwajili ya basi kwenda nyumbani au kwajili ya chakula?
  • Je unapata madeni kwajili ya kucheza kamari?
  • Je umewahi kulaumiwa kwa sababu ya kamari?
  • Je unasita kutumia hela kwenye kamari au kitu chochote?
  • Je umepoteza hamu ya kua na familia yako, mamshkaji au nyara nyingine?
  • Je unaweka michezo ya kamari kwanza kabla ya familia yako na wapendwa wako?
  • Je majadiliano, kuchanganyikiwa au kukata tamaa kunakufanya utake kucheza kamari zaidi?
  • Je unakua na huzuni au kutaka kufanya maamuzi ya kujidhuru kwajili ya kamari?

zaidi yako au mamshkaji zako/wanafamilia wanavyojibu ‘ndio’ kwa hayo maswali zaidi unavyopenda ni wewe au wao wanaweza kua na tatizo la kucheza kamari.

Matatizo ya mchezo wa kamari unaweza ukafika mbali na kuleta athari kubwa katika maisha ya watu.

Fata izi hatua rahisi kusimamia mchezo wako wa kamari:

  1. Kuanzisha mipaka ya ununuzi, mishahara na ata kupoteza kabla ya kuanza kucheza kamari.
  2. Weka amana ya kila siku kwa mipaka ya akaunti yako.
  3. Weka mipaka ya mda kabla ya kuanza kucheza kamari na uwe makini nayo kwa kuweka kengele.
  4. Usiruhusu mchezo wako wa kamari uingiliane na maisha yako ya kila siku; hakikisha unakamilisha majukumu yako yote ya kila siku kabla ya kuanza kucheza kamari.
  5. Usiweke mchezo wa kamari iwe kama chanzo cha mbadala wa kuingizaji kipato au njia ya kulipia deni.
  6. Usicheze kamari kama una ahueni wa tegemezi wowote au chini ya ushawishi wa pombe au.

Udhibiti wa wazazi

Watu wazima tu

Kwa Congo ni halali kwa mtu ambae ni chini ya umri kisheria kucheza kamari. M-Bet Plus ina haki ya kuuliza kwa ushahidi wa umri wa kila mteja na kubeba kufanya ukaguzi wa kuthibitisha habari zinazotolewa.

akaunti ya mteja inaweza kusimamishwa na hela kushikiliwa mpaka ushahidi wa umri utakaoridhisha kupatikana. Miaka ya kucheza michezo ya kamari inatofautiana na sheria za nchi husika na tunakushauri kufanya utafiti.

Shukrani nyingi, M-Bet Plus.

Hitilafu

Kulikuwa na tatizo!

ENDELEA
amana imefanywa

No deposits available

ENDELEA
preload